Update:

WAZIRI WA ARIDHI AFANYA KIKAO NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA SHERIA NDOGO

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi
akiiongoza Wizara yake kutoa majibu ya hoja za Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Sheria Ndogo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo
Jijini Dodoma.Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Sheria Ndogo wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi alipokuwa akitoa majibu ya hoja za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Jijini Dodoma.