Update:

TEAM ILIYO FUNGA MAGOLI MENGI ZAIDI KUTOA MFUNGAJI BORA KOMBE LA DUNIA ?Katika kipindi chote cha michuano ya kombe la dunia mpaka kumalizika hatua ya robo fainali yamefungwa jumla ya magoli 157 na adhabu zilizo tolewa katika michezo hiyo ni jumla ya kadi za njano 205 na kadi nyekundu ni 4 tu.Mpaka sasazimechezwa mechi takribani 60 kati ya mechi 64 na jumala ya pasi katika mechi hizo ni 46172 kila mchezo ulikuwa na wastani wa pasi 769.5 huku timu ya Ubelgiji ndio timu ambayo inaongoza kwa idadi kubwa ya ufungaji wa mabao mpaka sasa ina jumla ya magoli 14 ni timu ambayo anachezea moja ya mchezaji aliyopo kwenye kinyang’anyiro cha ufungaji bora akiwa na magoli 4 mpaka sasa ambaye ni Romelu Lukaku wa BelgiumHarry Kane ni mchezaji ambaye anaongoza kwa idadi ya ufungaji wa magoli mpaka sasa akifuatiwa na Romelu Lukaku ambaye bado ananafasi pengine ya kuongeza magoli katika mchezo unao fuata huku mpinzani wake Denis Cheryshev akiwa hana mchezo mwingine unao mkabili kwani Rassia wamekwisha ondolewa katika hatua ya Robo finalSpain ndio timu ambayo imecheza pasi nyingi zaidi mpaka kumalizika kwa hatua ya robo final imecheza jumla ya pasi 3120 wakati huo timu ambayo imeweza kushambulia zaidi ikiwa na wastani wa mashambulizi 292 ni Brazil huku Russia ikiwa imeimarisha zaidi ulinzi ikiwa na best defending 259