Update:

FIFA yataja watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa dunia:

 • Cristiano Ronaldo - Juventus & Ureno
 • Ronaldo ameshinda mara tatu mfululizo kombe la klabu bingwa Ulaya akiwa na Real Madrid
 • Kevin De Bruyne - Manchester City & Ubelgiji
 • Related image
 • Antoine Griezmann - Atletico Madrid & Ufaransa
 • Image result for antoine griezmann
 • Eden Hazard - Chelsea & Ubelgiji
 • Hazard aliisaidia Chelsea kuibuka mabingwa wa kombe la FA msimu uliopita
 • Harry Kane - Tottenham & England
 • Image result for harry kane
 • Kylian Mbappe - Paris St-Germain & Ufaransa
 • Mbappe aliibuka mchezaji bora chipukizi kwenye michuano ya kombe la dunia na kuisaidia Ufaransa kutwaa taji hilo
 • Lionel Messi - Barcelona & Argentina
 • Image result for lionel messi
 • Luka Modric - Real Madrid & Croatia
 • Image result for luka modric
 • Mohamed Salah - Liverpool & Misri
 • Salah alikua mchezaji bora wa msimu EPL na pia mfungaji bora akiifikisha Liverpool fainali ya kombe la klabu bingwa Ulaya
 • Raphael Varane - Real Madrid & Ufaransa
 • Image result for raphael varane

No comments