Update:

Umiseta yazidi kupamba moto Arusha

Katika kuhakikisha serikali inaibua vipaji vya michezo mashuleni kupitia mashindano ya umiseta Katika sehemu mbalimbali hapa nchini, serikali kupitia halmashauri ya wilaya ya Arusha imeunga mkono mashindano hayo nakusema kua muhimu kwa wanafunzi wote kwani pia yanasaidia kuinua taaluma yao
Hayo yamebainishwa na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Arusha Dr. Charles Mahala katika uzinduzi wa michezo ya umiseta kwenye viwanja vya shule ya sekondali iliboru hapo jana
Na Aloyce Godfrey

No comments