Update:

Klabu ya Yanga yaomba radhi SportpesaWakicheza mchezo wao wa kwanza wa kombe la shirikisho Afrika wa Kundi D uliochezwa jumapili mjini Algers nchini Algeria na kupoteza kwa jumla ya magoli 4-0 Yanga hawakuvaa jezi za mdhamini wao mkuu SportPesa.

Kuhusiana na shirikisho la soka Afrika (CAF) kutowaruhusu timu zinazoshiriki michuano hiyo kutumia jezi za mdhamini wao mkuu SportPesa Klabu hiyo jana imetoa taarifa rasmi kutoka makao makuu yao sambamba na kumuomba radhi mdhamini wao mkuu SportPesa kwa kutovaa jezi zenye nembo ya mdhamini huyo.

No comments