Update:

Nusu fainali ya kwanza kupigwa leo

Mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya kuchezwa leo usiku katika uwanja wa Anfield Uingereza.
Mchezo huo unazikutanisha AS Roma ambao watakuwa wenyeji wa Liverpool.
AS Roma wakifanya mazoezi ya mwisho kabla ya mechi hiyo katika uwanja wa mazoezi wa Trigoria nchini Uingereza wameonekana kujiamini tayari kwa pambano hilo.

No comments