Update:

Barcelona ndio mabingwa wapya wa ligi kuu msimu huuKlabu ya Barcelona ndio mabingwa wapya wa kuu nchini Hispania baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-2 dhidi ya Deportivo La Coruna, amabo unaifanya ifikishe pointi 86 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote katika ligi Hiyo.

Magoli ya Barcelona yalipatikana kupitia Lionel Messi aliyefunga matatu, na moja likifungwa na Philipe Coutinho.

Na Huu ni ubingwa wa 25 Barcelona katika ligi hiyo