Update:

Wanajeshi 14 wahukumiwa kifo DRCWanajeshi 14 wa DRC wamehukumiwa kifo akiwemo kanali wa zamani.
 

Wanajeshi 14 wa DRC wamehukumiwa kifo akiwemo kanali wa zamani.

Kiongozi wa mahakama ya kijeshi  Lieutenant amesema kuwa kati ya wanajeshi hao 14,baadhi wamekutwa na makosa dhidi ya serikali,umiliki wa silaha kinyume na sheria na mauaji.
Wanajeshi hao walikuwa wamepewa hukumu ya kufungwa mwezi Novemba kutokana na kufanya ulanguzi wa dhahabu wakati wakipigana dhidi ya ulanguzi huo kusini mwa Kivu,mashariki mwa DRC.
Kanali  wa zamani aliyehukumiwa kifo alikutwa akijaribu kuingiza waasi 40 ofisini.