Update:

Magaidi 3698 waangamizwa Afrin

Ni magaidi 3698 wameangamizwa toka kuanze kwa operesheni ya tawi la mzaituni Afrin nchini Syria.

Ni magaidi 3698 wameangamizwa toka kuanze kwa operesheni ya tawi la mzaituni Afrin nchini Syria.

Baadhi ya magaidi hao wameuawa,wengine wamejeruhiwa huku wengine wakiwa wamejisalimisha wenyewe.
Uturuki ilianzisha operesheni ya atwi la mzaituni toka 20 Januari.
Operesheni hiyo imeanzishwa kwa lengo la kuisafisha mipaka ya Uturuki dhidi ya magaidi.
Hakuna raia wa kawaida anaejeruhiwa wala kuuawa katika mashambulizi hayo.