Update:

Macho huonyesha hisia katika mapenzi
unaweza kuwa na hasira,,mawazo,,ama furaha na macho yako yakaonyesha ishara bila kificho lakini pia katika suala zima la mapenzi hisia huonekana machoni

yapende macho yako wakati wote na pia tumia macho yako kufahamu hisia za mapenzi ya mwenza wako

No comments