Update:

Jeshi la Uturuki katika operesheni yake dhidi ya ugaidi limewaangamiza mgaidi 2940 Afrin nchini Syria

Jeshi la Uturuki katika operesheni yake dhidi ya ugaidi limeaangamiza magaidi 62 wa kundi la PKK/PYD/YPG na Daeash na kupelekea idadi ya magaidi walioangamizwa kuongezeka.

Idadi ya magaidi kuhfikia sasa walioangamizwa na jeshi la Uturuki imefikia magaidi 2940.

Tawi la Mzaituni, operesheni ya jeshi la Uturuki ilianzishwa Januari 20 mwaka 2018 kwa lengo la kuwaondoa magaidi katika mipaka ya Uturuki.

Maeneo zaidi ya 149 na vijiji muhimu 119 vimekombolewa kutoka mikononi mwa magaidi.