Update:

FURSA YA MAZIWA GHAFI (RAW MILK)

Kiwanda cha TANGAFRESH kimeongeza uwezo wa uzalishaji wa maziwa kutoka lita 50,000 hadi lita 120,000 kwa siku kuanzia Januari 2018.


Hivyo kwa sasa kiwanda kinahitaji maziwa ghafi ya ziada yapatayo lita 80,000 kwa siku (awali kiwanda kilikua na uhaba wa lita 10,000 za maziwa ghafi kwa siku).


Hitaji hili la maziwa ni fursa kwa wajasiriamali na wafugaji wanaohitaji soko la uhakika la maziwa ghafi

Source :kamatafursa.co.tz .