Update:

al- Sisi ashinda urais Misri

Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais nchini Misri yameonyesha kuwa rais wa sasa wa nchi hiyo Abdel-Fattah al-Sisi ameshinda kwa asilimia 92 ya kura.


Tovuti ya serikal ya Al-Ahram imesema kuwa, Wamisri milioni 25 kati ya milioni 60 wanaoweza kupiga kura walijitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa siku tatu ulioanza jumatatu wiki hii na kumalizika jana


No comments