Update:

Ajali ya helikopta yasababisha vifo vya 5 New YorkTakriban watu watano wameripotiwa kupoteza maisha baada ya helikopta kuanguka nchini Marekani.

Kwa mujibu wa habari,helikopta hiyo iliyokuwa imebeba watu 6 imeanguka katika East River New York na kusababisha vifo vya wawili papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa.

Majeruhi walipoteza maisha baada ya kupelekwa hospitali.