Update:

Wanawake wengine wawili watoa taarifa za kufanyiwa vitendo vya ubakaji na rapa Nelly,

Mmoja anasema Nelly alilazimisha mkono wake ndani ya gauni lake kwenye party flani June mwaka 2016, wapili anasema Nelly alijichua mbele yake kwenye chumba cha kubadilisha nguo december 2017
Wanawake wote hawa ni wazazi wenye watoto na familia zao na walitaka kupiga picha na staa huyu ndio maana walienda backstage kuonana naye,
Shantel Jackson Mpenzi wa Nelly anasema ni kweli Mpenzi wake anazingua ila kesi zote sio za kweli sababu huwa anakuwa na Nelly Backstage na anajua yote yanayotokea.
Kesi hizi mbili zimekuja baada ya Monique Greene kusema Nelly alijichua mbele yake na kutaka kuweka uume wake kwenye mdomo wake.