Update:

MAKONDA APIGA MARUFUKU UUZWAJI WA MAGARI NDANI YA JIJI LA DAR......

Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema ifikapo Oktoba 1 mwaka huu, hataki kuona magari yakiuzwa popote Dar, isipokuwa katika eneo maalum lililopo Kigamboni