Update:

Lugha zaidi ya 70 zatoweka Nigeria

Zaidi ya lugha 70 zimepotea ndani ya miaka 100 nchini NigeriaZaidi ya lugha 70 zimepotea ndani ya miaka 100 nchini Nigeria.

Nigeria ni nchi yenye makabila mengi na hivyo ni lugha nyingi zimekuwa zikizungumzwa toka miaka ya zamani.

Utafiti umeonyesha kuwa idadi ya lugha zilizokuwa zikizungumzwa miaka ya 1900 na iliyo sasa si sawa.

Zaidi ya lugha sabini zimepungua mpaka kufikia miaka ya hivi sasa.

Kati ya sababu zilizosababisha kutoweka kwa lugha hizo ni kuisha kwa ukoloni,muingiliano wa kibiashara na vilevile kupungua kwa idadi ya watu wanaozungumza lugha hizo.

No comments