Update:

Luffa - HAZIKABI Ft G-Nako & Salmin Swaggz [Prod By Luffa]

Producer Luffa ameachia ngoma yake mpya ‘Hazikabi’ ambayo amewashirikisha G Nako na Salmin Swaggz, producer wa ngoma ni Luffa mwenyewe ndani ya studio za Wanene, huku mixing na mastering akifanya Chizan Brain.


No comments