Update:

Ujio wa Jackie Chan na filamu ya Rush Hour Part 4Jackie Chan athibitisha ujio wa filamu ya Rush Hour Part 4, itaanza kutengenezwa Mwaka 2018

Akihojiwa kwenye kipindi cha #TheCruzShow kupitia Radio ya Power 106 FM Jackie Chan amesema “Rush Hour 4 inakuja na itaanza kurekodiwa mwaka 2018, ila Jambo kubwa kuhusu Rush Hour 4 ni kuwa itaweza kufanyika tu kama mwigizaji kutoka Marekani Chris Tucker atakubali kufanya filamu”

Kwa sasa staa huyu anatangaza filamu ya #FOREIGNER.