Update:

PICHA ZA TUKIO LA UFYATUAJI WA RISASI LAS VERGAS NCHINI MAREKANI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU KADHAA


Walioshuhudia walisema mamia ya risasi zilifyatuliwa
Ufyatuaji huo ulifanyika wakati wa siku ya tatu na ya mwisho ya tamasha la muziki wa Country
Watu walitoroka eneo hilo kwa haraka wakati wa ufyatuaji huo
Mtu mwenye silaha alikuwa ghorofa ya 32 ya hoteli, upande mwingine wa barabara lilikokuwa likifanyika tamasha la muziki
Walioshuhudia walise kuwa kulikuwa na ghasia wakati watu walijaribu kukimbia
Polisi waliambia watu kutokakaribia ukanda wa Las Vegas


No comments