Update:

Watu takriban sita wamepoteza maisha katika milipuko ya bomu iliyotokea katika mji wa Idlib kaskazini magharibi mwa Syria.

Watu takriban sita wamepoteza maisha katika milipuko ya bomu iliyotokea katika mji wa Idlib kaskazini magharibi mwa Syria.
Kwa mujibu wa habari,mtu mmoja pia amejeruhiwa katika mlipuko huo.
Kiongozi wa usalama wa jamii Syria Mohamed Hajj Yusuf amesema kuwa sababu kamili iliyosababisha milipuko hiyo haijajulikana.
Syria imekuwa ndani ya vita toka mwaka 2011.
Migogoro Syria ilizidi kuongezeka baada ya kuingia kwa DAESH nchini humo mwaka 2014.

No comments