Update:

Neymar agoma buadilishana jezi baada ya mechi kuisha

Neymar alikataa kubadilishana jezi na kushikana mikono na  Anthony Ralston wa Celtic Jumanne usiku baada ya mlinzi alionekana kumcheka . Ralston alikuwa na kibarua kigumu  kumkaba kiungo huyo wa gharama wa Paris Saint-Germain pamoja na kwamba PSG walishinda goli 5-0

No comments