Update:

News Alert .Waziri wa TAMISEMI George Simba Chawene Ajiuzulu

Waziri wa Tawala za mikoa na serikali za mikoa George Simba Chawene ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa huo mara baada ya kutolewa ripoti ya uchunguzi wa madini ya Almasi na Tanzanite  mapema leo.
Hayo ni baada ya   Rais John Pombe Magufuli kutoa agizo kuwa watumishi wote walio tajwa katika ripoti hiyo wapishe uchunguzi 

No comments