Update:

Hiziapa Dalili ,Vyanzo na Aina za magonjwa ya fangasi yanayo watesa wanawake

MADA ZA AFYA
Na Dr Samson Kibona wa Antipa Herbal Clinic
1.       MAGONJWA YANAYOTESA WANAWAKE
Kuna aina nyingi za magonjwa ktk jamii, yapo ya watu wazima waume kwa wake, pia yapo ya watoto. Leo naanza na magonjwa yanayoshambulia sana upande wa kinamama au jinsia ya kike, na katika hayo yapo machache yanayoweza kuvuka kwa akina baba.

  Magonjwa ya FANGASI (Candidiansis)
Majina yake:  Candida, Yeast Infection, Chronic fatigue syndrome na Thrush
Haya yote ni majina ya fangasi katika makundi yake nabaadhi ya dalili zake ni:

Dalili zake:
Kujisikia uchovu,  Gesi tumboni, mara kichwa kuuma, mwili kutoa harufi isiyo nzuri,  kutoenda vizuri haja kubwa au kufunga choo kabisa,Kutosaga vizuri chakula tumboni, dalili za matezi ya koo kuvimba, mara ngiri ya tumbo la juu (hiatal), akili ama hedhi kuvurugika na mwingine hata upungufu wa damu.

Vyanzo vyake:
Kandida abkansi ni aina Fulani ya utando salama katika mwili wa mwanadamu, ule ulaini iwe ni wa mdomoni , kooni, tumboni na katika njia ya uzazi kwa akina mama (ukeni). Viungo hivi laini hugeuka kuwa adui pindi panapotokea mashindano kati yake na sumu zinazoingia kuushambulia mwili, wakati wale bacteria salama wa tumboniwanapouawa kwa matumizi  ya madawa makali ya viuavijasumu (antibiotics), na sumu zingine zinazoingizwa mwilini.

Pia huitwa Yeast au Monilia ambayo huzalishwa naKANDIDA HII.  Ipo sana kwa wengi wanaotumia madawa hayokwa muda mrefu, pamoja nay ale ya Uzazi wa majira, na za arv za kurefusha maisha nk.
Pia huletwa na hitilafu ya viwango njia ya uzazi ambavyo kwa usawa ni aside, na ikiwa matumizi ya maji ya bomba ya vile vifaa vya kujimwagilia vitatumika vibaya ukeni inaleta kandida kali na kuanza kuvuja uchafu ukeni.

Dalili zake nyingine:
Maumivu ukeni, ulaini usio wa kawaida (utepetepe), kuchomachoma, muwako wa moto, maumivu wakati wa kuingiliwa, na wa haja ndogo. Hii ndio inaitwa YEAST VAGINITIS.
Kuna aina nne za Fangas leo nimeitaja hii ya kwanza ya Yeast. Hii isipotibiwa  vema inweza kuuwa kizazi, kuziba mirija, kuharibu ndoa, kuharibu mimba, na kuzaa watoto wenye kasoro mbali mbali.

Ipo mimea mbali mbali tutakayokuwa tunaelezana hapa na namna ya kuitumia ambayo ipo katika kitabu change cha pili cha Karibu Edeni, kwa sasa vimeisha vipo press mara vikitoka mtajilishwa mwezi ujao.
Ila madawa yapo ya kukusaidiwa kumaliza tatizo lako la aina zote za Fangasi, na magonjwa mengine ambayo sijaanza kuyataja bado.  Pia unaweza kupata huduma zangu katika Kliniki zangu za ANTIPA HERBAL CLINIC zipo Dar es salaam ndio ofisi kuu, pia tawi lipo Tunduma na Arusha.
Mawasiliano ya vituo  vyangu  vya kupatia dawa ni haya :
 DSM Head Office  Dr Samson Kibona +255 754 464525 na +255 784 220181
ARUSHA branch  +255 746 830457
TUNDUMA branch +255 753 220181
ANTIPA NATURAL THERAPIES CENTRE (Antipa Herbal clinic).

No comments