Update:

Breaking News. ”Nimatumaini yangu wale ambao wako madarakani Serikalini ni wateule wangu na wametajwa ktk ripoti hizi wakae pembeni ” Rais Magufuli1. Mbunge wa Kibakwe, Mheshimiwa George Simbachawene ni Waziri
2. Mbunge wa Namtumbo, Mheshimiwa Edwin Ngonyani ni Naibu Waziri.
3. RAS Manyara, ndugu Eliakim Maswi

Hawa wanatakiwa wajitathimini wenyewe na kukaa pembeni.