Update:

Breaking News. Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu Apigwa Risasi na watu wasio julikana

Huu ndio muonekano wa gari alilokua amepanda mbunge Lisu baada ya kupigwa risasi na inasemekana risasi zilimpata sehemu za running, miguu na mikono na sasa madactari wanajitaidi kuokoa uhai wa mbunge huyo

Taarifa zilizo sambaa kwa njia ya mitandao mbalimbali ni kwamba Mbunge huyo amepigwa risasi akiwa mkoani Dodoma na Sasa amewaishwa hosipitali kwa matibabu ya haraka

No comments