Update:

Agizo la Rais kupiga uzio katika eneo la Machimbo ya madini ya TANZANITE kuanzia block A hadi D ili kuzuia ubadhilifu wa madini hayo. Je? Unadhani itasaidia kuboresha maendeleo ya mji wa Mererani na Tanzania kwa ujumla ili wananchi wake wasiendelee kuwa masikini


No comments