Update:

Taifa Stars kuingia kambini, kujiandaa kwa mechi na BotswanaKikosi cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kinachojiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Botswana, kimeanza mazoezi leo uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam, huku nyota wanaocheza nje wakitarajiwa kuwasili kuanzia leo.

Ofisa wachezaji wote wanaocheza hapa nchini waliingia kambini jana, huku wanaocheza nje wakitarajiwa kuwasili kuanzia leo.

msafara wa wachezaji 18 na viongozi tisa kutoka Botswana unatarajiwa kuwasili Alhamisi.

No comments