Update:

Sasa ukikutwa na mfuko wa plastiki Kenya, jela miaka minneHuenda Kenya likawa taifa lenye sheria kali kabisa dhidi ya mifuko ya plastiki duniani, kwani sasa mtu anaweza kufungwa jela hadi miaka minne au kutozwa dola 40,000 za Kimarekani kwa kukutwa na mfuko mmoja tu.

No comments