Update:

Ratiba ya mechi za matayarisho ya msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza (EPL) 2017/18Ligi kuu ya Uingereza (EPL) inaanza rasmi msimu mpya wa 2017/18 Agosti 11 na kabla yake, Jumapili Agosti 6, kutakuwa na mechi ya kufungua pazia ya kugombea Ngao ya Jamii kati ya mabingwa wa ligi hiyo Chelsea na waliobeba FA CUP, Arsenal, itakayochezwa Jijini London.

Hivi sasa klabu zote 20 za EPL zipo kwenye harakati za kujiimarisha kwa kuleta nguvu mpya kwenye vikosi vyao kwa kununua wachezaji wapya.

Lakini pia Klabu hizo zimeanza kukusanya vikosi vyao kwa ajili ya kambi za mazoezi zikianza na ziara maalum

No comments