Update:

Vigogo wa TFF watiwa mikononi mwa TAKUKURU

Maofisa wakuu wa shirikisho la soka nchini Tanzania wanashikiliwa na mamlaka ya kupambana na kuzua rushwa TAKUKURU ikiwa siku chache baada ya mamlaka hiyo kuwafikisha mahakamani wafanyabiashara wawili wanaotuhumiwa na uchotaji wa fedha katika akaunti maarufu ya Escrow.

No comments