Update:

Uchaguzi TFF: Hii ndio orodha kamili ya waliochukua fomu mpaka sasa

Katika kuelekea uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF, ifuatayo ni orodha kamili ya Wagombea wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi utakaofanyika Agosti 12, mwaka huu mkoani Dodoma.
Makao makuu ya Shirikisho la Mpira Tanzania TFF

Hawa ni wale waliojitokeza na kuchukua fomu katika ofisi za TFF siku ya Ijuma mpaka jana Jumapili katika makao makuu ya chama hicho, Karume jijini Dar es Salaam.URAIS
Jamal Malinzi
Imani Madega
Wallace Karia
Fredrick Masolwa

Athumani Nyamlani
Fredrick Mwakalebela.MAKAMU RAIS

Mulamu Nghambi
Michael Wambura
Geofrey NyangeWAJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI

Soloum Chama
Ephraim Majinge
Elias Mwanjala
Saleh Alawi
Kaliro Samson
Vedastus Lufano
Kenneth Pesambili
Mbasha Matutu
Samwel Daniel
Dunstan Mkundi
Athuman Kambi
Shaffi Dauda
Golden Sanga
Charles Mwakambaya
Benista Rugola.
Thabit Kandoro
Goodluck moshi
James Mhagama
Husen Mwamba
Sarah Chao
Isaa bukuku
Stewat Masima
Emmanuel Ashery
Abdul Sauko
Musa Sima
Stanslaus Nyongo
Ayoub Nyenzi
John Kadutu
Baraka Mazengo
Khalid Mohamed
Mohamed Aden
Cyprian Kuyava
Saleh Abdul

Abdalah Mussa
Peter Stevin
Said Tulliy
Ally Musa
Mussa Kisoki
Lameck Nyambaya
Omar Ali

Shirikisho hilo hii leo linatarajia kutoa orodha itakayo hainisha wagombea waliojitokeza kila kanda katika kanda 13 kama zilivyogawanywa kwa mujibu wa Katiba ya TFF.

No comments