Update:

PICHA : MAONYESHO YA WAKULIMA YAFANA KATIKA VIWANJA VYA SELIAN JIJINI ARUSHA

Junior Ndesanjo Afisa Program wa  EAGC  akitoa Elimu  kwa wakulima walio jitokeza katika maonyesho hayo


BrazzAfrika nao hawakuwa nyuma katika maonyesho haya wameeleza faida za kushiriki na akielezea faida hizo Maneja wa Kampuni hiyo  Salim Robert amesema inasaidia kuwafikia wateja wengi kwa wakati mmoja pindi nanapokuja kutembelea mabanda na kupata maelezo zaidi   
ETG Wauzaji wa mbegu mbalimbali za mbogamboga

Wakulima wakipata  Mafunzo katika Banada la EAGC 
Wakulima wakijibiwa baadhi ya maswali yao juu ya Trekta  la New Holland
Banda la WADE RAIN hawa hushughulika na kilimo cha umwagiliaji kwa njia ya Drip yaani matone ya maji 


Banda la AgroZ  hawa hushughulika na uuzaji wa mifuko ya kuhifadhia nafaka iliyo thibitika na pia inadawa yenye uwezo wa kuzuia wadudu na hata panya waaribifu wa mazao 
No comments