Update:

FIFA Kombe la Mabara kuanza Juni 17, wenyeji Russia kufungua na New Zealand
Mashindano ya kombe la mabara linaloandaliwa na shirikisho la soka duniani FIFA mwaka mmoja kabla ya fainali za kombe la Dunia kwenye nchi ambayo ndiyo mwenyeji wa fainali hizo, yanaanza Jumamosi hii Juni 17 huko Russia kwa kushirikisha nchi 8.

Russia, ambao ndio mwenyeji wa fainali za kombe la Dunia za mwaka 2018, wataanza kucheza na New Zealand katika mechi ya kundi A itakayochezwa Saint Petersburg Stadium, Saint Petersburg.

Nchi nyingine 7 zinazoshiriki ni Germany, Portugal, Mexico, Cameroon, Chile na Australia.

No comments