Update:

Update:Magufuli atengua uteuzi waziri wa nishati na madini Sospeter Muhongo

Taarifa kutoka ikulu imesema uamuzi huo wa Rais umeanza kutekelezwa mara moja, na kuwa nafasi hiyo itajazwa baadaye.
Dkt Magufuli amechukua hatua hiyo saa chache baada ya kumshauri Prof Muhongo ajiuzulu.

No comments