Update:

UEFA Champions Ligi: nusu fainali kuanza leo, Real Madrid na Atletico Madrid

Image result for semi final Real Madrid vs Atletico Madrid

Leo kutakuwa na mtanange mkali huko Stadio Santiago Bernabeu ambapo Real Madrid watakutana na Atletico Madrid. Hii ni mara ya 5 kwa Timu hizi kupambana katika Mechi za Ulaya na Real Madrid walimaliza ndoto za Atl├ętico Madrid kwenye UCL katika Misimu Mitatu iliyopita, ikiwa ni pamoja wa Fainali za Mwaka 2014 na 2016.
Na kesho jumatano ni nusu fainali ya pili kati ya AS Monaco itakapokwaana na Juventus.
Kesho jumatano pia kutakuwa na nusu fainali ya kwanza ya UEL, UEFA EUROPA Ligi itakayochezwa huko Amsterdam, Uholanzi kati ya Ajax Amsterdam na Lyon. Na siku ya Alhamisi Hispania, nusu fainali nyingine ya UEL itafanyika katik ya Celta Vigo na Manchester United.

No comments