Update:

TANZIA:Mbunge mstaafu wa moshi mjini na mwenyekiti wa chadema mkoa wa kilimanjaro Philemoni ndesamburo afariki dunia


 Mbunge mstaafu wa moshi mjini na mwenyekiti wa chadema Mh.Philemon Ndesamburo amefariki dunia mapema hii leo
by
Katibu wa kanda ya kaskazini Amani Golugwa athibitisha