Update:

TANZIA: Msanii Dongo Mfaume Afariki Dunia


Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Mfaume, anayekumbukwa zaidi kwa wimbo wake wa 'KAZI YA DUKANI' amefariki dunia leo hii. Dogo Mfaume alikuwa anasumbuliwa na Matatizo ya kutumia madawa ya kulevya..

RIP