Update:

Serikali ya Kinshasa yaahidi « donge nono » kwa atakea toa taarifa kuhusu wafungwa waliotoroka


Kinshasa yaahidi donge nono kwa atakaetoa taarifa kuhusu wafungwa waliotoroka

Serikali ya Kinshasa yaahidi « donge nono » kwa atakea toa taarifa kuhusu wafungwa waliotoroka
Seriakali ya Jamhuri ya kidemokraia ya Congo yaahidi donge nono kwa mtu yeyote atakeo toa taarifa kuhusu wafungwa waliotoroka katika gereza la Makala mjini Kinshasa.
Wafungwa katika gereza la Makala walitoroka Jumatano katika gereza hilo ambalo linapatikana Magharibi mwa jiji la Kinshasa.
Waziri wa sheria wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Alexis Ntambwe Mwamba aliwaambia waandishi wa habari kuwa hakuna haja kwa wafungwa hao kusalia mafichoni bali kujisalimisha kwa kuwa kumeazishwa msako mkali ili kuwakamata na donge nono litatolewa kwa yeyote yule atakaetoa taarifa kuhusu wafungwa hao waliotoroka.