Update:

Muonekano wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini tayari kwa kuaga miili ya wanafunzi wa shule ya Msingi Luck vicent

Muonekano wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid , ukiwa tayari kwa shughuli za kuwaaga wapendwa wetu ndugu zetu wanafunzi na waalimu wa shule ya msingi Luck Vicent
Makamu wa Rais Mama Samia, Waziri wa Elimu,Prof Ndalichako , Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho_Gambo na Wabunge mbali mbali viongozi wengine pamoja na maelfu ya Watanzania wanatarajiwa kujitokeza katika maombolezo hayo.