Update:

Msikiti mmoja jijini Stockholm washambuliwa kwa moto


Shambulizi la msikiti nchini Uswidi
Polisi nchini Uswidi wafahamisha kushambuliwa kwa msikiti mmoja wa dhehebu la Shia jijini Stockholm .
Msikiti wa Imam Ali Islamic Centre uliharibiwa kwa moto katika shambulizi linalosemekana kutekelezwa majira y usiku Jumapili kuamkia Jumatatu.
Wazima moto walifikishwa katika eneo hilo la tukio baada ya kufahamishwa kuhusu moto huo .
Taarifa zaidi zafahamisha kwamba sehemu kubwa ya msikiti huo imeteketezwa .

No comments