Update:

MSAFARA ULIOBEBA MIILI KUELEKEA KATIKA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID KWAA...

Magari ya jeshi la wananchi yakiwa yamebeba miili 32 yakitokea katika hospitali ya Mount Meru kuelekea katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwaajili ya kuagwa leo

No comments