Update:

Hali ya dharura yaongezewa muda nchini Mali

Hali ya dharura yaongezwa muda Mali

Hali ya dharura yaongezwa muda Mali
Hali ya dharura nchini Mali yaongezewa muda hadi ifikapo  Oktoba 31 mwaka 2017.
Hali hiyo ya dharura iliwekwa  baada ya shambulizi la kigaidi lililotekelezwa Novemba  20 mwaka 2015 katika hoteli ya Radison Blu mjini Bamako.
Watu 22 walifariki katika shambulizi hilo ambalo lililaaniwa na jumuiya ya kimataifa.
Msuada wa sheria kuhusu kurefushwa kwa hali ya dharura nchini Mali ulichauliwa  Ijumaa kwa kupigiwa kura  96 kwa 147.
Halli ya dharura imeongezwa kufuatia shambulizi  lililolenga kambi ya jeshi ya  Gourma Rharous kaskazini mwa Mali Aprili 19.

No comments