Update:

CAF yawapa shavu watanzania 3

Image result for CAF

Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) limewateua watanzania 3 kuwa maofisa waandamizi katika kusimamia mchezo wa kundi A hapo kesho utakaowakutanisha Ghana na Gabon kwenye uwanja wa Port Gentil michuano ya AFCON- U-17.Watanzania hao ni Mwesigwa Joas Selestine ambaye atakuwa Kamishna wa mchezo huo, Frank John Komba kupewa nafasi ya mwamuzi msaidizi pamoja na Dk. Paul Gaspel Marealle kushika kitengo cha kitaalamu cha uchunguzi kwa wachezaji wanaotumia dawa za kusisimua misuli.
Timu ya taifa ya Kriketi ya Uganda yakabidhiwa jezi

No comments