Update:

Basi la wanafunzi wa Shule ya Msingi Lucky ya Arusha lapata ajali na kuuwa watu takribani 32Wilayani Karatu Mkoani Arusha

Kmanda wa polisi mkoani Arusha amedhibitisha kutokea kwa tukio hilo na kutaja idadi ya watu walio fariki ikiwememo wanafunzi 29 na watu wazima 3 akiwemo DerevaAkielezea kutokea kwa tukio hilo kamanda Mkumbo amesema chanzo cha ajali hiyo ni Dereva kushindwa kumudu Barabara ambayo ilikua ina muinuko na kusababisha Gari  aina ya toyota costa kutumbukia bondeni na kusababisha ajali hiyoNo comments