Update:

AUWAWA KWA TUHUMA ZA UWIZI WA MATUNDA AINA YA TIKITI MAJI

Mtu mmoja aliye fahamika kwa majina ya Tajiri Christopher amekutwa amekufa pembezoni mwa shamba la matunda aina ta Tikiti maji akiwa na furushi la matunda hayo katika mfuko katika  kijiji cha Einoti Kata ya Oljoro namba 5 Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara

BONYEZA HAPA KWA TAARIFA ZAIDI

No comments