Update:

Wito wa msaada kwa Somalia kupambana na janga la njaa

Msaada kwa Somalia kufuatia ukame

Msaada kwa Somalia kufuatia ukame


Msaada kwa Somalia kufuati janga la njaa ambalo limesababishwa na ukame katika pembe la Afrika.
Zaidi ya watu  milioni 6 nchini Somalia wamekumbwa na kuathirika na janga la ukame ambalo linasabaisha  njaa na matatizo ya ukosefu wa lishe bora.
Baada ya janga la njaa la mwaka 2011, kwa mara nyingine Somalia imekumbwa na janga la njaa.
Raia wa Somalia wamekuwa wakitegemea kwa kiasi kikubwa  msaada wa kimataifa ili kukidhi mahitaji.
Shirika la kutoa misaada la Uturuki la İHH kwa ushirikiano na wizara ya masuala ya kidini Diyanet limetoa wito wa kupambana dhidi ya ukame na njaa nchini Somalia.

No comments