Update:

Serengeti Boys kuwasili Cameroon kwa mchezo wa kirafiki

Image result for serengeti boys safarini kuelekea  Yaounde nchini Cameroon

Timu ya taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 'Serengeti Boys',I inataraijiwa kuwasili katika jiji la Yaounde nchini Cameroon, kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya kikosi cha vijana wenye umri huo huo cha Cameroon. Vijana hao ambao ni tegemeo la taifa katika michuano hiyo mikubwa kabisa barani Afrika watacheza michezo miwili dhidi ya Cameroon mjini Yaoundé.
Katika mchezo wa Mwisho wa kujipima nguvu 'Serengeti Boys' imepata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Gabon ambao ni wenyeji wa michuano ya Afcon u-17 2017. Mechi hiyo ilipigwa nchini Morocco.

No comments