Update:

Rais wa Somalia Abdullahi Mohamed kufanya ziara nchini Ethiopia


Rais wa Somalia kufanya ziaya nchini Ethiopia
Rais wa Somalia Abdullahi Mohamed kufanya ziara nchini Ethiopia
Ziara ya rais Abdullahi Mohamed ni ziara yake  ya kwanza nchini Ethiopia tangu kuchaguliwa kuwa rais wa Somalia.
Rais Mohamed Abdullahi atawasili nchini Ethiopia ifikapo Jumatano.
Ziara yake nchini humo itachukuwa muda wa siku mbili.
Waziri mkuu wa Ethiopia Haile Mariam Dessalegn amemtumia mualiko rais wa Somalia ambapo wanataraji kukutana mjini Addis Abeba kwa muda wa siku mbili.
Hali ya usalama inayojiri nchini Somalia ni miongoni mwa mada zitakazojadiliwa na viongozi hoa.

No comments