Update:

Rais Magufuli aagiza watumishi waliobainika kugushi vyeti wafungwe jela miaka saba


Rais Magufuli amesema Watumishi 9932 waliobainika kuwa na vyeti feki watakiwa kunyang'anywa ajira zao na adhabu ya  kufungwa miaka saba wakati huo na watumishi wengine  wengine 1538 aagiza  wasipewe mshahara wa mwezi huu mpaka mtakapo baini uhalali wa vyeti vyao mwisho ni tarehe 15 wizara husika iwe imesha lifanyia kazi swala hilo 
 Amesema kwa kuwa watumishi hao wanajijua, hata majina yao yachapishwe kwenye magazeti kwa kuwa wameiibia serikali.

No comments